buffet la chakula

SUMAJKT Catering Co Ltd.

Hii ni Kampuni tanzu ya Shirika yenye Makao Makuu yake Mwenge, jijini Dar es Salaam. Kampuni inatoa huduma za kibiashara kwa kukodisha kumbi za sherehe, vyakula na mapambo katika matukio mbalimbali ya kiserikali na kijamii.

Kampuni ilianza kama mradi mwezi Julai 2017 ikijulikana kwa jina la SUMAJKT Recreation & Catering Services kabla ya kusajiliwa rasmi mnamo tarehe 25 Machi, 2020.

UKUMBI
buffet la chakula
Kampuni inaendelea kuboresha huduma zake ili kuweza kutoa huduma maeneo mengine nje ya Dar es Salaam.

Fanya kazi nasi leo

Tembelea ofisi zetu au bofya kitufe hiki kupata   mawasiliano yetu..