Kampuni ya Udalali wa Bima(SUMAJKT Insurance Broker) ilianzishwa mwaka 2019 kwa lengo la kulisaidia Shirika na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika kuongeza mapato kwa kutumia fursa kubwa ya wateja waliopo ndani, nje ya JKT na JWTZ kwa ujumla wake. Kwa sasa kampuni inaendelea kujenga uwezo wa kufanyakazi za bima ndani ya Jeshi, miradi, makampuni yenye ubia ya SUMAJKT na kutafuta kazi za nje ya jeshi kwenye taasisi, makampuni na watu binafsi ambapo kazi hizo zinatekelezwa kwa gharama iliyo pangwa na kamishna wa usimamizi wa Bima kwa ufanisi mkubwa wa wataaalam wa Bima.

Huduma zinazotolewa
Kampuni ya SUMAJKT Bima inatoa huduma zifuatazo:-
a. Bima ya Magari b. Bima ya meli c. Bima ya Ujenzi d. Bima ya Ajali e. Bima ya Afya f. Bima ya mali
Makampuni yanayofanya kazi na SUMAJKT BIMA
Kampuni inashirikiana na Kampuni mbalimbali za Bima katika utendaji kazi kama ifuatavyo:-
a. National Insurance Co-Operation (NIC) b. Zanzibar Insurance Co-operation (ZIC) c. Insurance group of Tanzania (IGT) d. First Insurance Co. Ltd e. Mgen Insurance Co. Ltd f. Resolution Insurance Co. Ltd g. Bumaco Insurance Co. Ltd h. Ice lion Insurance Co. Ltd k. Jubilee Insurance Co. Ltd k. Sanlam Insurance Co. Ltd
Kampuni ya SUMAJKT Insurance Broker ilianzishwa mnamo mwaka 2019 nakupata leseni yake kutoka kwa kamishna wa usimamizi wa Bima Jul19.