Brig. Jen. Ngata akagua Ujenzi, Mbeya.

Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Petro Ngata, tarehe 07 Oktoba, 2026 amefanya ziara ya kikazi kanda ya Nyanda za Juu Kusini, mkoani Mbeya ili kukagua namna shughuli mbalimbali za kiuzalishaji zinazofanyika hususani shughuli zinazohusu Kampuni ya Ulinzi, Ujenzi na Usafi.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *