Skip to content
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFASHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT)

  • Nyumbani
  • KutuhusuExpand
    • Tunu Zetu
    • Uongozi wetu
  • Bidhaa na Huduma
  • Habari na Matukio
  • MawasilianoExpand
    • Tuzo zetu
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFASHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA

  • Oct 13 2023
    0
    Suma Admin

    SUMAJKT yatembelewa na Ugeni kutoka Comoros

    Ugeni kutoka Kisiwa cha Comoro, tarehe 06 Septemba 23 umetembelea Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) lililopo Mlalakua jijini Dar es salaam. Ujumbe huo wa watu watano ukiongozwa na Mhe. Gavana Sitti Farouata Mhoudine umefika Makao Makuu ya SUMAJKT kwa ziara ya kikazi na umepokelewa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Afisa Mtendaji Mkuu SUMAJKT Meja Jenerali Rajabu Mabele. Mhe. Gavana Sitti Farouata katika ziara hiyo amepata fursa ya kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa na SUMAJKT kupitia Taarifa fupi iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Utafiti wa SUMAJKT. Luteni Kanali George Wang’ombe.Taarifa hiyo
    Read More
    Huduma na Biashara
  • Oct 13 2023
    0
    Suma Admin

    SUMAJKT yasaini Mkataba na CRDB

    Read More
    Huduma na Biashara, Ujenzi
  • Oct 31 2023
    0
    Suma Admin

    JENERALI MKUNDA AZINDUA MITAMBO YA MAJI SUMAJKT BOTTLING CO. LTD, AFURAHISHWA NA JITIHADA ZA SHIRIKA

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Jenerali Jacob John Mkunda leo tarehe 16 Oktoba 2023 amezindua mitambo ya kuzalisha Maji ya kunywa ya Uhuru Peak katika kiwanda cha SUMAJKT Bottling Co. Limited kilichopo Mgulani JKT Jijini Dar es salaam. Mitambo hiyo yenye thamani ya Tsh Bilioni Moja na milioni 800 inaanza kutumika rasmi kuanzia sasa ili kuongeza ufanisi wa kiwanda ikiwa ni Wingi wa Uzalishaji pamoja na kukidhi hitajio la huduma ya maji nchini. Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Majeshi Jenerali John Mkunda ametoa shukurani kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika
    Read More
    Huduma na Biashara
  • Mar 13 2024
    0
    Suma Admin

    Waziri Aweso afanya ziara Msomera kuangalia maendeleo ya huduma ya maji

    Waziri wa Mji, Juma Aweso, alipotembelea kijiji cha Msomera, wilayani Handeni ambapo nyumba jumla 5000 pamoja na miundombinu ya maji imejengwa kupitia shirika la SUMAJKT. Zaidi tazama video hii hapa kufahamu undani wa taarifa hio.
    Read More
    Huduma na Biashara
  • Mar 18 2024
    0
    Suma Admin

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri SUMAJKT aridhishwa na kasi ya ujenzi wa nyumba 5000 Msomera

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri SUMAJKT, Meja Jenerali (mstaafu) Mohamed Farah aridhishwa na kasi ya ujenzi wa nyumba 5000 katika kijiji cha Msomera, wilayani Handeni. Ameyasema hayo wakati alipoongoza wajumbe wa Bodi hio katika ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi wa nyumba za makazi, unaojengwa na kampuni ya ujenzi ya SUMAJKT, ikiwa ni operesheni chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Kufahamu undani wa taarifa hio, tafadhali tazama video hii hapa chini;
    Read More
    Huduma na Biashara
  • ← Previous
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • …
  • 20
  • Next →

Karibu Ofisini Kwetu, Mlalakuwa, Kawe:

S. L. P 1694, Dar es Salaam.

+255222780934

info@sumajkt.go.tz

  • Nyumbani
  • Kutuhusu
  • Bidhaa na Huduma
  • Habari na Matukio
  • Mawasiliano
Facebook FacebookInstagram InstagramYouTube YouTube

© 2026 SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA Proudly made by the ICT Dept, SUMAJKT HQ.

  • Nyumbani
  • Kutuhusu
    • Tunu Zetu
    • Uongozi wetu
  • Bidhaa na Huduma
  • Habari na Matukio
  • Mawasiliano
    • Tuzo zetu
Search