>
sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES
Untitled Document
Kiswahili English

SUMAJKT NI NINI?

"SUMAJKT ni Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa. SUMA JKT ilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya mashirika ya umma ya mwaka 1974 (RE 2002) baada ya amri ya Rais ya mwaka 1982.

Nia ya kuanzishwa SUMA JKT ni kusaidia miradi ambayo ina uwezo mkubwa wa uzalishaji ili iweze kuzalisha zaidi na kwa faida na hivyo kuisaidia Serikali katika kupunguza matumizi ya kuendesha shughuli za JKT ."...Soma zaidi hapa

 

Dira na Dhima ya SUMAJKT

Dira ya Shirika

"Kuwa Shirika kubwa, lenye sifa kibiashara litakalokuwa na uwezo wa kuliwezesha Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) kuendesha shughuli zake ".

Malengo ya shirika

"Kuanzisha na kuendesha shughuli za uzalishaji mali na huduma kwa tija katika sekta za kilimo, ulinzi, uhandisi na ujenzi, viwanda na biashara na pia kutoa huduma kwa ufanisi, ubora na weledi".

 

sumajk