sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES
Untitled Document
Kiswahili English

SUMAJKT PORT SERVICE

SUMAJKT PORT SERVICES COMPANY LIMITED

SUMAJKT PORTS SERVICES ni mradi unaojihusisha na uratibu wa wafanyakazi wa kutwa katika bandari za baharini na maziwa zilizopo chini ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Kutokana na mradi kujihusisha na shughuli mbalimbali uongozi uliona ni vyema mradi kusajiliwa kuwa kampuni ili kurahisisha shughuli zake hivyo mnamo tarehe 16 Oct 20 mradi ulipata usajili na kuwa kampuni inayojulikana kama SUMAJKT Port and Services Company Limited.

DIRA (VISION)

Kutoa huduma ya Wafanyakazi wa kutwa kwa mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) pamoja na miradi mingine.

.

DHIMA(MISSION)

Ni kutoa huduma bora ya Wafanyakazi wa kutwa kwa mamlaka ya TPA na kuboresha miradi mingine.

.

MAHALI ULIPO

SUMAJKT Port Services & Company limited ipo kurasini ndani ya mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

MAWASILIANO:
SUMAJKT port and services Company Limited
Sanduku la Posta 1694
Dar-es-salaam
Mobile: (+255) 738 133 505
Email: sumajktportservices@sumajkt.go.tz
Website: www.sumajkt.go.tz

.

 

 
sumajk