sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255716177727
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KATIKA MIRADI YA SUMAJKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge)

amefanya Ziara Makao makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (MMJKT) pamoja na kutembelea

Miradi inayosimamiwa na SUMAJKT.

Forest
Mwakilishi wa Mkuu wa JKT Kanali Charls Mbuge ambaye pia ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo MMJKT, akimsomea Maelezo Mgeni Rasmi Mh. Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Ally Mwinyi alipotembelea MMJKT mapema tarehe 01 Oct 2018.
Forest
Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Kanali Rajabu Mabele akisalimiana na Mh. Dkt Hussein Mwinyi alipotembelea MMJKT Oct 01, 2018.
Mountains
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipata maelezo jinsi ya kutengeneza Viatu katika Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi MMJKT toka kwa Luteni Joseph Kaundi
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipata maelezo juu ya mashine ya kutengeneza Viatu katika Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi MMJKT toka kwa Luteni Joseph Kaundi
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akioneshwa buti zinazotengenezwa katika Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi MMJKT toka kwa Luteni Joseph Kaundi
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akioneshwa baadhi ya Matrekta yanayouzwa na SUMAJKT Agri-Machinery Mwenge DSM
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipata maelezo juu ya Mashine ya kusukuma maji, kutoka kwa Meneja Mradi Lt Col RV Kaiza, mara alipotembelea Mradi huo.
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipata maelezo jinsi ya kufuga samaki kwenye matenki, katika Mradi wa SUMAPONIC - Mbweni KJ kutoka kwa Luteni JB Lyakurwa
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipata maelezo jinsi ya kufuga samaki kwenye matenki, katika Mradi wa SUMAPONIC - Mbweni KJ kutoka kwa Luteni JB Lyakurwa
Forest
Meneja Mradi wa SUMAJKT Chang'ombe Furniture akimuonesha Mgeni Rasmi Mh. Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Ally Mwinyi baadhi ya Samani zinazotengenezwa na Kiwandani hapo.
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipokea zawadi ya Samani zinazotengenezwa na Kiwanda cha Samani Chang'ombe Kutoka kwa Meneja Mradi.
Forest
Waziri wa Ulinzi na JKT Mh. Dkt Hussein Ally Mwinyi (Mbunge), akipokea zawadi ya Samani zinazotengenezwa na Kiwanda cha Samani Chang'ombe Kutoka kwa Meneja Mradi.

jQuery Vertical News Slider
 • Mradi wa Ujenzi
 • Mradi wa Sumaguard Ltd
 • Mradi wa Matrekta
 • Mradi wa Kokoto
 • SUMAPONICS
 • Lether Product Industry
 • Kiwanda cha Ushonaji
 • Recreation and Catering
 • Mradi wa Ufugaji
 • Mradi wa Kilimo
 • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Matenki ya kufugia Samaki katika Mradi wa SUMAPONIC.

Mradi wa SUMAPONIC unapatikana Jijini Dar es Salaam-Mbweni JKT...

Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi .

Mradi huu unapatikana MMJKT(Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa) Jijini Dar es Salaam...

kiwanda cha Nguo kinachomilikiwa na SUMAJKT.

Kiwanda hiki kinapatikana Ruvu JKT Pwani...

Huduma ya Chakula inayopatikana katika mradi wa Recreation and Catering...

Mradi huu unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....

sumajk

MIRADI NA MAKAMPUNI MBALIMBALI YA SUMAJKT

KAMPUNI YA UJENZI NA UHANDISI (SUMAJKT Construction Company Limited) W3Schools
KAMPUNI YA ULINZI (SUMAJKT Guard LTD) W3Schools
KAMPUNI YA USAFI WA MAOFISI NA MAZINGIRA W3Schools
USAMBAZAJI NA UUZAJI WA ZANA ZA KILIMO (Agri -Machinery) W3Schools
HUDUMA YA CHAKULA NA KUMBI (SUMAJKT Catering Services ..) W3Schools
UZALISHAJI NA UUZAJI WA MAJI YA KUNYWA (SUMAJKT Water Bottling Plant..) W3Schools
UZALISHAJI NA UUSUMAJKT Kunduchi Stone Quarry .. W3Schools
SUMAJKT Port Services .. W3Schools
SUMAJKT Garment Factory .. W3Schools
SUMAJKT Agri-machinery .. W3Schools
     
sumajk