sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES
Kiswahili English

KAMPUNI YA UKUSANYAJI MADENI, USHURU NA MINADA

(SUMAJKT AUCTION MART)

SUMAJKT Auction Mart Company Limited ni Kampuni tanzu ya Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT.
Yenye Utaalamu na inajishughulisha na

 • Ukusanyaji Ushuru
 • Ukusanyaji Madeni
 • Minada

Kampuni imesajiliwa na shirika la mamlaka ya usajili wa leseni za Biashara yaani BRELA kwa Cheti No.441467 Tarehe 21 February 2018.
Ni Kampuni ya Kijeshi inayoendesha shughuli zake katika misingi ya Nidhamu,Uwajibikaji,Uaminifu,Ufanisi na Ubora yenye wataalamu wa hali ya juu n muunganiko mzuri mtandao wa kiutendaji katika nyanja hii ya kukusanya Madeni,Ushuru,Kodi,Udalali na kukaza huduma za Mahakama.

DIRA
Ni kutoa huduma ya kukusanya Ushuru,Madeni na kufanya Minada yenye thamaniendelevu iliyoongozwa na ubora ikiwa na suluhih-sho kwa wateja,iwe ni mtu binafsi,Shirika au jamii.
Lengo kuu ni kukidhi hitaji Mteja.


MAONO
Kutambuliwa kama taasisi bora inayoongoza katika kukusanya  Madeni,Ushuru na minada nchini Tanzania.


MAJUKUMU

 • Kuwajibika katika kukusanya malipo ya tozo zilizopitishwa.
 • Kupanga orodha za wadaiwa kulingana na miitikio ya uurejeshaji wa madeni husiks.
 • Kuwaunganisha wadaiwa na wadaiwa wao na kusimamia akaunti za wateja katika kurejesha madeni husika.
 • Kutafuta na kuwatambua wadaiwa kupitia Habari taafifa za ofisi za mikopo,hundi za nyuma,
 • Hati za mikopo na nyaraka zihusianazo na hizo kamahifadhi data.
 • Kuweka na kusimamia kumbukumbu  za makubaliano mapya kama mpango mkakati kazi wa kulipa deni
 • Kushauri kitaalamu namna bora ya kukusanya deni kwa mujibu wa tafiti kulimgana na aina ya ndeni

WATEJA WETU

 • Serikali kuu.
 • Serikali za mitaa
 • Taasisi mbalimbali za kifedha
 • Mashirika madogo madogo ya kifedha
 • Kampuni za biashara

  MAWASILIANO:
  SUMAJKT Auctiom Mart Company Limited
  Sanduku la Posta 1694
  Dar-es-salaam
  Mobile: (+255) 713 732 344
  Email: auctionmart@sumajkt.go.tz
  Website: www.sumajkt.go.tz

.

 
sumajk