sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES
Untitled Document
Kiswahili English

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT)

SUMA JKT Ilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya mashirika ya umma ya mwaka 1974 (RE 2002) baada ya amri ya Rais ya mwaka 1982.
Nia ya kuanzishwa SUMA JKT ni kusaidia miradi ambayo ina uwezo mkubwa wa uzalishaji ili iweze kuzalisha zaidi na kwa faida na hivyo kuisaidia Serikali katika kupunguza matumizi ya kuendesha shughuli za JKT. Shirika linazalisha bidhaa na kutoa huduma bora kwa jamii hususani katika shughuli mbalimbali zikiwemo:-

    • Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
    • Ujenzi na Uhandisi
    • Huduma ya Ulinzi
    • Huduma ya Uokoaji na Zimamoto
    • Huduma ya Usafi (Cleaning and Farmigation)
    • Huduma ya Bima (SUMAJKT Insurance and Broker)
    • Huduma ya Udalali (SUMAJKT Auction Mart)
    • Huduma ya Vibarua na Usafirishaji wa mizigo Banadarini (SUMAJKT)
    • Huduma ya Clearing and Fowarding
    • Huduma ya Chakula , Kumbi za Mikutano na Sherehe
    • Uuzaji na usambazaji wa Zana za kilimo na Vipuli vyake (SUMAJKT Agri-machinery)
    • Viwanda vinavyozalisha bidhaa mbalimbali ifuatavyo:-
      • Kiwanda cha Maji (Uhuru Peak)
      • Kiwanda cha Ushonaji (NS Garmets)
      • Kiwanda cha Samani (Changombe Furniture)
      • Kiwanda cha Viatu (SUMAJKT Leather Products)
      • Kiwanda cha kuchakata nafaka (Mlale na Mafinga)

    DIRA YA SHIRIKA
    “Kuwa Shirika kubwa, lenye sifa kibiashara litakalokuwa na uwezo wa kuliwezesha Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) kuendesha shughuli zake”


    DHIMA YA SHIRIKA
    “Kuanzisha na kuendesha shughuli za uzalishaji mali na huduma kwa tija katika sekta za kilimo, ulinzi, uhandisi na ujenzi, viwanda na biashara na pia kutoa huduma kwa ufanisi, ubora na weledi.”

    SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA

    • Ujenzi na uhandisi.
      • REGISTRATION STATUS:

        • Building Contractor - Class I
        • Civil work Contractors - Class III
        • Electrical Contractors - Class I
        • Architectural Firm
        • Engineering Consultancy
        • Mechanical Works Contractor - Class iv
        • Quantity Surveyors


        Shughuli za Viwanda

        • Kiwanda cha Maji (Uhuru Peak)
        • Kiwanda cha Ushonaji (NS Garmets)
        • Kiwanda cha Samani (Changombe Furniture)
        • Kiwanda cha Viatu (SUMAJKT Leather Products)
        • Kiwanda cha kuchakata nafaka (Mlale na Mafinga)

         

      • Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
      • Huduma
        • Huduma ya Ulinzi
        • Huduma ya Uokoaji na Zimamoto
        • Huduma ya Usafi (Cleaning and Farmigation)
        • Huduma ya Bima (SUMAJKT Insurance and Broker)
        • Huduma ya Udalali (SUMAJKT Auction Mart)
        • Huduma ya Vibarua na Usafirishaji wa mizigo Banadarini (SUMAJKT)
        • Clearing and Fowarding
        • Huduma ya Chakula , Kumbi za Mikutano na Sherehe

         

        SUMAJKT inatekeleza kwa vitendo, nia ya Serikali  ya kukuza Uchumi wa nchi katika Viwanda na Biashara  kwa maendeleo ya nchi.


 
sumajk