sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255716177727
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

KOKOTO

Ujenzi wa Barabara na Nyumba zinahitaji Kokoto zenye ubora na zilizokidhi viwango vinavyohitajika.Hivyo kwa kuliona hilo Sumajkt tunazalisha kokoto zenye ubora na kwa bei nafuu kutoka Kunduchi stone quarry.

Trolltunga Norway
Kokoto safi na imara za ujenzi wa nyumba zikiwa tayari kuuzwa.
Forest
Aina mojawapo ya kokoto zetu. (nusu nchi)
Northern Lights
Kokoto safi na imara za ujenzi wa barabara zikiwa tayari kuuzwa.
 

 

PRICE LIST OF AGGREGATES IN SUMAJKT

EX QUARY

 

AGGREGATES SIZE

1M3TZS

VAT TZS

TOTAL TZS

OVERALL COST

0-5mm Crusher Dust  

 10,000.00

 1,800.00

11,800.00 

-

 

TRANSPORTATION RATE PER M3

 

 

 

 

 a

location Ubungo,Mwenge,Mikocheni  

35,000.00 

6,300.00 

41,300.00 

53,100.00  

Tegeta,Kurasini,Mgulani Airport  

37,000.00 

 6,660.00

43,660.00 

55,460.00 

Kigamboni 

40,000.00 

7,200.00 

47,200.00 

59,000.00 

 

 

AGGREGATES SIZE

1M3TZS

VAT TZS

TOTAL TZS

OVERALL COST

 2

5-12mm Chipping  

20,000.00 

3,600.00 

23,600.00 

 

TRANSPORTATION RATE PER M3

 

 

 

 

 a

location Ubungo,Mwenge,Mikocheni  

35,000.00 

6,300.00 

41,300.00 

64,900.00 

Tegeta,Kurasini,Mgulani Airport  

37,000.00 

6,660.00 

43,660.00 

67,260.00 

 c

Kigamboni 

40,000.00 

7,200.00 

47,200.00 

70,800.00 

jQuery Vertical News Slider
 • Mradi wa Ujenzi
 • Mradi wa Sumaguard Ltd
 • Mradi wa Matrekta
 • Mradi wa Kokoto
 • SUMAPONICS
 • Lether Product Industry
 • Kiwanda cha Ushonaji
 • Recreation and Catering
 • Mradi wa Ufugaji
 • Mradi wa Kilimo
 • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Matenki ya kufugia Samaki katika Mradi wa SUMAPONIC.

Mradi wa SUMAPONIC unapatikana Jijini Dar es Salaam-Mbweni JKT...

Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi .

Mradi huu unapatikana MMJKT(Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa) Jijini Dar es Salaam...

kiwanda cha Nguo kinachomilikiwa na SUMAJKT.

Kiwanda hiki kinapatikana Ruvu JKT Pwani...

Huduma ya Chakula inayopatikana katika mradi wa Recreation and Catering...

Mradi huu unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....