sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255716177727
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

UGENI KUTOKA NDC TANZANIA WATEMBELEA SUMAJKT

Ugeni kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Tanzania, ulioongozwa na Afisa Mwelekezi Mwandamizi wa Chuo hicho Brigedia Jenerali Chelestino Msola walipotembelea kiwanda cha maji (SUMAJKT BOTTLING PLANT) na kiwanda cha Ushonaji (NATIONAL SERVICE GARMENT FACTORY) na kupokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Kanali Rajabu Mabele tarehe 13 Febuari 2020 vilivyopo katika kituo cha Uwekezaji cha JWTZ Mgulani JKT Jijini Dar es Salaam.

Zifuatazo ni picha za ziara hiyo

 
 
     
sumajk