sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255716177727
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

RAIS AIPONGEZA SUMAJKT KWA KUTOA GAWIO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt . John Pombe Magufuli amelipongeza Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) kwa kutoa gawio kwa Serikali lenye thamani ya Tsh 1.012 bilioni.
Mhe. Rais ametoa pongezi hizo leo tarehe 24 Nov 2019 kwenye hafla ya utoaji gawio kwa Taasisi na Mashirika ya Serikali iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma ambapo jumla ya Kampuni, Taasisi na Mashirika 79 yametoa gawio kati ya Taasisi 266, na gawio hilo kufika thamani ya shilingi trillion 1.05.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania n Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti wa Bodi ya SUMAJKT Meja Jenerali Mohamed Fara ambaye ameambatana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na pia Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge wakati wa kukabidhi gawio la SUMAJKT kwa Serikali lenye thamani ya TShs 1.012 bilion.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania n Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SUMAJKT Meja Jenerali (Mstaafu) Mohamed Fara (wa kwanza kushoto) pamoja na Mkuu wa JKT na pia Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge wakiwa wameshika hundi yenye thamani ya TShs. 1.012 bilioni, ambayo ni gawio la Serikali.
 
 
     
sumajk