sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255716177727
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

UZINDUZI WA MAGARI NA MITAMBO KATIKA VIWANJA VYA MAKAO MAKUU YA SUMAJKT

MKuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, na Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMAJKT Meja Jenerali Charles Mbuge, akizindua malori tisa na magari ya utawala manne katika viwanja vya Makao makuu ya SUMAJKT Mlalakuwa Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Magari yaliyozinduliwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Charles Mbuge ili kusaidia watendaji wa JKT kufanya kazi kwa ufanisi na kuzalisha kwa tija.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari na mitambo akiwa na baadhi ya viongozi wa JKT na SUMAJKT.
Baadhi ya Wakurugenzi mbalimbali wa SUMAJKT katika uzinduzi huo
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Picha ya pamoja ya Mkuu wa JKT Meja Jenerali Charles Mbuge pamoja na Viongozi mbalimbali wa SUMAJKT.
     
sumajk