Serikali yalikabidhi SUMAJKT ujenzi wa viwanja vitano vya michezo

Serikali kwa kupitia Wizara ya Michezo na Utamaduni imelikabidhi Shirika la Uzalishaji Mali za Jeshi la kujenga Taifa (SUMAJKT) Ujenzi wa Viwanja vya michezo idadi vitano. Makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT amesema ujenzi wa viwanja hivyo utafanyika katika mtindo wa Operesheni ili kuhakikisha mradi unakamilika ndani ya Muda uliowekwa.

Taarifa zaidi, tizama video hii hapa chini:

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *