JESHI la Kujenga Taifa (JKT) latangaza nafasi za kujitolea kwa mwaka 2024 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa vijana wote kutoka Tanzania Bara na Zanzibar
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujitolea kwa mwaka 2024 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa vijana wote kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wenye sifa za kujiunga na Jeshi hilo huku watakaopata nafasi hizo wametakiwa kuripoti katika kambi za JKT kuanzia Novemba 1 hadi 3 Mwaka huu.
Akizungumza Septemba 25, 2024 na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya JKT Chamwino Mkoani Dodoma kwa niaba ya Mkuu wa JKT,Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala Jeshi la Kujenga Taifa JKT, Kanali Juma Mrai amesema usaili utaanza Oktoba 1, mwaka huu kupitia Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar.
“Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele anawakaribisha vijana wote watakaopata fursa kuja kujiunga ili kujengewa uzalendo, Umoja wa kitaifa, Ukakamavu, kufundishwa stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia taifa lao” amesema Brigedia Jenerali Mabena.
Amesema utaratibu wa vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa kujiunga na mafunzo hayo unaratibiwa na ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambako mwombaji anatoka.
Ameongeza kuwa “ Vijana watakaochaguliwa watatakiwa kuripoti kwenye Makambi ya JKT kuanzia Novemba 1 hadi 3 mwaka huu ,aidha JKT linapenda kuwaarifu Vijana watakaopata fursa hiyo kuwa halitoi ajira, wala kuwatafutia ajira kwenye asasi, mashirika yasiyokuwa ya kiserikali au vyombo vya ulinzi na Usalama” amesema.
Aidha amewaasa wazazi na walezi kujihadhari dhidi ya matapaeli ambao wamekuwa wakitumia nafasi hiyo kutapeli wananchi kwamba wanaweza kuwasaidia kupata nafasi hizo kwa kutoa pesa ili wajiunge na JKT.
“Mara nyingi nafsi hizo zinapotangazwa wanaibuka matapeli ambao hudai nafasi hizo zinapatikana kwa kutoa fedha,naomba niwaambie nafasi hizo haziuzwi ni bure hivyo kila mmoja aombe sehemu husika zilizotolewa na JKT,”
Sifa za muombaji na maelekezo ya vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo vinapatikana katika tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz
Jeshi ni Zuri Sana vijana tujiunge
kwamajina naitwa cosmas faustini sulungu ni raia wa tanzania naomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa ninaumur wa miaka 20. kwa mawasiliano 0617164272 au 0685163604 asante.
Ni sahihi kwa hilo
Form zakujiunga zinapatikana wapi?
Form zakujiunga zinapatikana wapi? Nipotayari kujiunga naitwa Paul magele ni raia wa Tanzania Nina umri wa miaka 19 nipo kahama mkoa wa shinyanga mawasiliano 0687129714
Sawa imekaapoa
I really like to protect My country one day
Kwamajina naitwa yusuph mussa nina umri wa miaka 19 fomu zina patikana wapi? Namba yangu hiya apa 0788532280 napatikana morogoro naombeni mnisaidie kwahili asante sana
fuatilia link kwenye tovuti ya jkt.go.tz
Naomba mnipigie Whatsapp 0612447170
Mm Kwa jina ni Joseph pascal assey ni mtanzania jinsia ya kiume nahitaji wa kujiunga na jeshi lataifa tanzania
Kwa majina naitwa James festo Lucas ni mkazi wa Kijiji cha mwamagembe kata ya mwamagembe wilaya ya manyoni mkoa wa singida ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ni mtanzania pia nilishapitia kamandi ya jeshi la akiba Mwaka 2022 nipo tayari kujiunga na jeshi la taifa Tanzania
Naomba nafasi nikajitolee
Makao makuu ya jkt,
Bububu-Zanzibar.
30/9/2024.
Kwasheshima na taadhama naomba kupewa nafasi hii ya kujitolea kwaajili yakuijenga nchi yangu na kujijenga Mimi mwenyewe kuwa mkakamavu na shupavu katika kujipambania mimi mwenyewe na nchi yangu na naahidi kuweza kuhimili mazoezi yote na mafunzo yote nitakayo pewa .
Asante
Fuata maelekezo yaliyowekwa katika tovuti ya jkt.go.tz.
Ratiba ya kuanza usaili ni lini?
Nashukuru Mungu kwa kuwa mmefanya jambo zuri na la kupendeza nawapongeza sana jeshi la kujenga taifa, kwa kukutazamia sisi vijana niwape pongezi na hongera maana pia ni sehemu ya ndoto zangu kulijenga taifa, hivyo natumaini hata maombi yangu yatakubalika, Asante.
Nahitaji nafasi hip jmn
Kwa majina naitwa charles fredy komba nina umri wa miaka ishirini lakini nilikuwa na maoni yangu kuw sisi vijana wenye umri wa miaka ishirini na siku kadhaa ..tunakataliwa kujiunga na jeshi la kujenga Taifa kwa kigezo cha kuwa tumezidi siku katika hiyo miaka ishirini hivyo ninaomba na sisi tulio na miaka ishirini na siku kadhaa tupewe fursa…kwan naipenda nchi yangu.
Napenda kulitumikia jeshi la nchi yangu mkinipa nafasi nitalitumikia kwa moyo wote na kwa nguvu Zang zoto
Yah maombi ya jeshi lakujenga taifa jkt mimi kihele Ezikieli Balihali nikijana wa kitanzania mwenye umuli wa myaka 18 pia nimwanye mafunzo ya jeshi la hakiba nimehitimu wilaya ya busega mukoa wa simiyu hinyo nikijana mwenye utimilifu wa kijeshi la hakiba pia nimwenye nizam na uhodali katika kazi hivyo naamini maombi yangu yatakubaliwa kujiunga na jeshi la kujenga taifa la jkt hivyo naambatanisha baluwa hii na nakala ya vyeti vyangu kama ifatavyo 1 cheti cha kuzaliwa namba 2 cheti cha kumaliza dalasa la saba 3 cheti cha kuhitim mafunzo ya jeshi la hakiba 4 utambulisho wa nidaa wako katika ujenzi wa taifa / Asante namba yang 0780838612
Kwa majina naitwa Alexander lyampili kakulu raia halali wa Tanzania mzaliwa wa mwanza naomba nafasi ya kujiunga na jkt jeshi la kujenga taifa nipo tayari kulitumikia jeshi la nchi yangu kwa uhai wangu wote na nitafaata kila takacho ambiwa na msimamizi wa jeshi la Tanzania naomba ushilikiano wenu Nina umri wa miaka 19 ahsanten sana ndugu zanguni mungu awabariki Amen
Kwa majina naitwa Gabriel kitara waryoba ni mtanzani mzalendo mwenye umri wa miaka 21 nimemalza kidato Cha sita 2024 shauku yangu kubwa ni kujiunga na jeshi la Tanzania.tafadhal nahitaji msaada wetu
Fuata maelekezo yaliyowekwa katika tovuti ya jkt.go.tz.
Naombeni nafasi za kujitolea kwamajina naitwa JOACHIM FRED JONATHAN
Athuman Sudi Athuman says:
October 7, 2024 at 3:59 pm
Habari za wakati huu viongozi kwa majina naitwa ATHUMAN SUDI ATHUMAN nimzaliwa wa Tanzania Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama Kata ya Isaka ni mezaliwa mwaka 2005 ninaumri wa miaka 19 ninaomba kujitolea kwa ajili ya kujenga na kuimalisha ulizi wa Tanzania pamoja na jeshi lake nipo tayari kujiunga na kula kiapo kwa ajili ya Tanzania natumai maombi yangu yatajibiwa Asanteni mwenyezi mungu awajalie muwe na siku njema
Fuata maelekezo yaliyowekwa katika tovuti ya jkt.go.tz.
Et muda wakupokea barua za maombi umeisha? Maana walinzi wa pale office ya mkuu wa wilaya wanakataa mm kupeleka
Naitwa samson magambo nina miaka 18 nina elimu ya kidato cha 4 naomba nafasi za jkt
Fuata maelekezo yaliyowekwa katika tovuti ya jkt.go.tz.
Naitwa Japhet mipawa naishi mkoani lindi nahitaji kujiunga na mafunzo ya jeshi jkt Tanzania Mimi ni mtanzania namba yangu 0742369284
Fuata maelekezo yaliyowekwa katika tovuti ya jkt.go.tz.
Nipo tayari kujiunga ni kijana mwenyw umri wa miaka 19,nafasi zinatolewa wapi
Naitwa harrison ponela naishi daresalam naomba kujiunga na jeshi lakujenga taifa nipo tial muda wowote na vigezo na masarti
Naomba kujiunga na jkt
YAH.maombi ya kujitolea katika jkt,kwa majina naitwa JAIBU SAIDI SIMBA,ni mkazi wa mkoa wa RUVUMA Wilaya ya NAMTUMBO.Naomba nafasi ya kujitolea kwenye jesh la kujenga taifa..kwani nahitaji kulitumikia TAIFA Langu, kuwa mzalendo na mkakamavu.sifa nimemaliza kidato cha nne.naambatanisha vyeti vifuatavyo cheti cha darasa la saba,cheti cha kuzaliwa na NIDA.Ntafurah sana endapo nitafakiwa,wako mzalendo katika TAIFA.
Yah; Maombi ya Jkt kwa ajiri ya mafunzo dhumuni langu ni kujenga Taifa na siyo kubomoa naomba kujiunga
Naitwa GODFREY LAURENCE LUANDA natokea mkoa wa ruvuma napenda Sana jeshi laking napitia changamoto kamikaze kupata nafasi ya kujiunga na jeshi waheshimwa naomba mnisaidie man napenda San jeshi
Jkt naomba Mungu atupe nguvu sana na sisi uku mikoani tunaomben kututembelee uku