Kampuni ya Umeme ya SUMAJKT Electrical Co Ltd kuongezewa kandarasi za kusambaza umeme.
Kampuni ya Umeme ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT Electrical Co Ltd. Imepongezwa kwa kutekeleza kwa wakati na weledi Mkubwa kandarasi ambazo imekua ikiingia mikataba. Akizungumza Naibu waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe.Doto Biteko katika hafla ya kutia saini mkataba wa kufunga mifumo ya nishati safi ya kupikia katika makambi 22 ya JKT kwa mikoa 14 uliyosainiwa baina ya JKT na Wakala wa Nishati vijijini REA,Tukio lililofanyika Jijini Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko amelipongeza Shirika la Uzalishaji Mali la JKT(SUMA JKT) kupitia SUMAJKT Electric Co.Ltd kwa…


