Washiriki wa Kozi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Mataifa 16 Duniani wamefanya ziara ya Kimafunzo Makao Makuu ya JKT

Washiriki wa Kozi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Mataifa 16 Duniani wamefanya ziara ya Kimafunzo Makao Makuu ya JKT Chamwino Dodoma mnamo Machi 10, 2025.

Wakiwa Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepata wasilisho la Namna JKT na Shirika lake la Uzalishaji Mali (SUMAJKT) linavyotekeleza majukumu yake ya Malezi ya Vijana, Uzalishaji Mali na Ulinzi.


https://www.instagram.com/p/DHBmQZOIPxl/?igsh=cXZmNjdhZGp1ZDFw

Endelea kutufuatilia kupitia website yetu ya https://sumajkt.go.tz/ na mitandao yetu ya kijamii ya facebook, Instagram na Youtube

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *