SUMAJKT Pharmaceuticals LTD
Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo la kutoa huduma mbalimbali za afya ikiwemo huduma za madawa, vifaa tiba na vifaa vya maabara.
Siku za usoni, kampuni inalenga kuboresha huduma zake kwa
kujielekeza kwenye huduma za uchunguzi na tafiti za afya,
kufungua viwanda vya dawa na maduka makubwa ya dawa za
binadamu maeneo mbalimbali nchini pamoja na kusambaza
dawa na vifaa tiba katika vituo vya afya.
Fanya kazi nasi leo
Tembelea ofisi zetu au bofya kitufe hiki kupata mawasiliano yetu..