Skip to content
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT)

  • Nyumbani
  • KutuhusuExpand
    • Tunu Zetu
    • Uongozi wetu
  • Bidhaa na Huduma
  • Habari na Matukio
  • MawasilianoExpand
    • Tuzo zetu
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA
SUMAJKT Chang'ombe Furniture Co. Ltd
SUMAJKT Guard Co. Ltd
SUMAJKT Bottling Co. Ltd
SUMAJKT Agri-Business Co. Ltd
SUMAJKT Cleaning and Fumigation Co. Ltd
SUMAJKT Mlale Food Processing
SUMAJKT Agri- Machinery
SUMAJKT Port & Services Co. Ltd
Kunduchi Stone Quarry Co. Ltd
SUMAJKT Electric Co. Ltd
SUMAJKT Logistics Co. Ltd
Jitegemee JKT Secondary School
Kawawa JKT Secondary School
SUMAJKT Construction Co. Ltd (SCCL)
SUMAJKT Anit Asfalt Co. Ltd
SUMAJKT Consultancy Bureau Co. Ltd
SUMAJKT Energies Co. Ltd
SUMAJKT Garments Co. Ltd
SUMAJKT Auction Mart Co Ltd
SUMAJKT Insurance Broker Co. Ltd
SUMAJKT Catering Co. Ltd
SUMAJKT Pharmaceuticals Co. Ltd
SUMAJKT Chang'ombe Furniture Co. Ltd

seti ya makochi na meza yake vinapatikana kwa aina mbalimbali.

 

Meza za kulia chakula na viti vyake zipo za aina mbalimbali..

Kwa huduma ya fenicha nzuri na bora kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, nyumba za ibada nakadhalika, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 5268 ,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 73 3768893/+255 73 3768894

email: sumajktfurniture@gmail.com

au fika ofisini kwetu Mkabala na jengo la NHC, Keko Dar es salaam.

SUMAJKT Guard Co. Ltd

Askari wa kitengo cha Mbwa wa SUMAJKT Guard Limited akiwa kazini

Kwa huduma bora ya ulinzi binafsi na wa mali zako, huduma ya Zimamoto na uokoaji pamoja pamoja na huduma ya gari ya dharura ya wagonjwa, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 734 077 700 / +255 712 410 747

email: sumajktguard@gmail.com

au fika Makao Makuu ya SUMAJKT, Mlalakuwa, jijini Dar es salaam.

SUMAJKT Bottling Co. Ltd

Kwa huduma kwa huduma ya maji safi na salama yakiwa katika chupa ya 250ml, nusu lita (500ml), 600ml, lita 1, lita1.6 na lita 2 usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1992,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 769 740 744

email: bottlingplant@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu eneo la Chan’ombe, Plot No 321, Temeke, Dar es salaam.

SUMAJKT Agri-Business Co. Ltd

Shamba la Mpunga, Chita:

Shamba la Alizeti, Hanang;

Shamba la Alizeti

Shamba la Usa River, Arusha;

SUMAJKT Mngeta Plantation;

Shamba la Mifugo Oljoro;

Shamba la Mifugo Mafinga;

Shamba la Mifugo Misenyi;

jkt oljoro

Mradi wa SUMAPONICS;

Ufugaji wa samaki

Kwa huduma bora za Mazao ya kilimo, mifugo na ufugaji wa samaki wasiliana nasi kupitia:

Sanduku La Posta 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/Hotline: +255 22 278 0932

Email: info@sumajkt.go.tz

au fika katika ofisi zetu zilizopo Mwai Kibaki Road, Mlalakuwa jijini Dar es salaam, Tanzania.

SUMAJKT Cleaning and Fumigation Co. Ltd
Wafanyakazi wa kampuni ya SUMAJKT Cleaning and Fumigation wakiwa kwenye mavazi yao ya kazi
Gari maalum ya kubebea takataka, mali ya kampuni ya usafi na unyunyuziaji dawa za wadudu (SUMAJKT CLEANING AND FUMIGATION COMPANY)

Kwa huduma bora ya usafi wa mazingira pamoja na huduma ya kuangamiza wadudu wanaoruka na wanaotambaa, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 712 659 139

email: usafi@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu, Mwenge, Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, jijini Dar es salaam.

SUMAJKT Mlale Food Processing
Unga wa Mahindi kutoka Kiwandani kwetu SUMAJKT Mlale Food Processing

Kwa unga bora wa mahindi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, shuleni, hotelini nakadhalika, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 122,
Songea, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 758 507 488/+255 657 073 715

email: pm.mlale@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu Mlale, wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

SUMAJKT Agri- Machinery

Trekta likivuta tela kwa ajili ya kubebea mizigo na mazao kutoka shambani.

Kwa huduma bora za matrekta na zana za kilimo, wasiliana nasi kupitia:

Sanduku La Posta 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp/Hotline: +255 786 610 881

Email: agrimachinery@sumajkt.go.tz

au fika katika ofisi zetu zilizopo New Bagamoyo Road, Mwenge light Indutries jijini Dar es salaam, Tanzania.

SUMAJKT Port & Services Co. Ltd
Meli iliyobeba magari kwa kupakuliwa chini ya usimamizi wa SUMAJKT Port & Services Co Ltd.
Wafanyakazi wa SUMAJKT Port & Services Co. Ltd wakiwa kwenye majukumu yao.
Meli ikishusha magari chini ya usimamizi wa SUMAJKT Port & Services Co. Ltd

Kwa huduma bora ya forodha pamoja na shughulli za Bandarini, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 738 133 505

email: sumajktportservices@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu jijini Dar es salaam.

Kunduchi Stone Quarry Co. Ltd
Vigae vya kutaraza chini kutoka SUMAJKT Kunduchi Stone Quarry Co. Ltd
Matofali ya SUMAJKT Kunduchi Stone Quarry Co. Ltd
Matofali ya SUMAJKT Kunduchi Stone Quarry Co. Ltd
Nguzo za zege kutoka SUMAJKT Kunduchi Stone Quarry Co. Ltd

Kwa matofali bora ya aina zote, vigae vya kutaraza chini, nguzo za zege nk, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 60152,
Dar es salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 782 400 800

email: ksq@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu Bagamoyo Road, Kunduchi, Dar es salaam.

SUMAJKT Electric Co. Ltd
Mafundi umeme wakiwa kwenye mradi wa kusambaza umeme wilayani Kishapu
Viongozi wa Kiserikali na SUMAJKT wakiwa kwenye mkutano na wananchi wilayani Kishapu.
Mafundi umeme wakiwa kwenye mradi wa kusambaza umeme wilayani Kishapu
Mafundi wa SUMAJKT Electric Co. Ltd wakiwa kwenye majadiliano ya kikazi
Mafundi umeme wakiwa kwenye mradi wa kusambaza umeme wilayani Kishapu

Fundi wa SUMAJKT Electrical akiwa kazini kwake.

 
Miundombinu ya umeme ya SUMAJKT Electrical Co. Ltd
Gari maalum kwa ajili ya kushughulikia miradi ya umeme
Gari maalum kwa ajili ya kushughulikia miradi ya umeme
sehemu ya mradi wa kusambaza umeme mkoani Shinyanga ikifanywa na mafundi wetu wa SUMAJKT Electric Co. Ltd.
sehemu ya mradi wa kusambaza umeme mkoani Shinyanga ikifanywa na mafundi wetu wa SUMAJKT Electric Co. Ltd.
sehemu ya mradi wa kusambaza umeme mkoani Shinyanga ikifanywa na mafundi wetu wa SUMAJKT Electric Co. Ltd.
sehemu ya mradi wa kusambaza umeme mkoani Shinyanga ikifanywa na mafundi wetu wa SUMAJKT Electric Co. Ltd.

Kwa huduma bora za kuunganisha umeme, kubuni mfumo wa umeme majumbani, viwandani, mashuleni n.k, kufunga transfoma na kuyabadili, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 767 976 162 / +255 683 716 692

email: info@sumajktccl.go.tz

au fika ofisini kwetu jijini Dar es salaam.

SUMAJKT Logistics Co. Ltd

logistics
huduma ya kupakua mizigo bandarini.
SUMAJKT Logistics
huduma ya kusafirisha mizigo.
huduma ya kuhamisha mizigo.
huduma ya kuhamisha mizigo.

 

Kwa huduma bora ya kusafirisha, kupakia na kupakua na kuhamisha mizigo yako, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 716 445 374

email: logistics@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu jijini Dar es salaam.

Jitegemee JKT Secondary School
wanafunzi wakiwa assembly.
chumba cha kulala kwa wanafunzi wa bweni.
Wanafunzi wakiwa assembly kwa ajili ya matangazo mbalimbali.
Moja kati ya majengo ya makazi kwa ajili ya wanafunzi wa bweni.
wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanafunzi wakiwa darasani.
Maktaba kwa ajili ya wanafunzi kujisomea.

 

Kwa elimu bora kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita kwa ajili ya mwanao, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 5268 ,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 22 2780934

email: jitegemeehighschool@sumajkt.go.tz

au fika shuleni eneo la Mtoni Mtongani, jijini Dar es salaam.

Kawawa JKT Secondary School
wanafunzi wa kike wakiwa katika mistari kwa ajili ya matangazo.
Bodi ya Shule ilipotembelewa na Mh. Hussein Mwinyi alipokuwa Waziriwa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

 

Majengo ya shule
Kwaya ya shule ikitumbuiza katika ukumbi wa shule.
Vifaa vya maabara ya Kemia.

 

 

Kwa elimu bora kwanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita kwa ajili ya mwanao, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu: +255 22 2780934

email: kawawahighschool@sumajkt.go.tz

au fika Makao Makuu ya SUMAJKT, Mlalakua, jijini Dar es salaam.

SUMAJKT Construction Co. Ltd (SCCL)
jkt ujenzi
Jengo la SUMAJKT House lililopo Medeli East Dodoma.
 
 
 
 
  UJENZI
 
 
 
usanifu wa majengo
 

Kwa huduma bora za michoro na ubunifu wa majengo na miundombinu mbalimbali, wasiliana nasi kupitia:

Sanduku La Posta 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/Hotline: +255 22 278 0932

Email: info@sumajkt.go.tz

au fika katika ofisi zetu zilizopo Mwai Kibaki Road, Mlalakuwa jijini Dar es salaam, Tanzania.

 
SUMAJKT Anit Asfalt Co. Ltd
Logo rasmi ya Kampuni
Mitambo ya kuchenjua kokoto iliyopo eneo la mradi, Pongwe mkoani Pwani.
kokoto
Kokoto zikiwa tayari kwa ajili ya shughuli mbalimbali za ujenzi.
Mashine maalum kwa ajili ya kuvunja miamba na kukusanya vifusi vya kokoto ikiwa eneo la mradi.
Kokoto baada ya kuchenjuliwa

 

Kwa huduma bora ya kokoto za aina zote, mchanga na mawe kwa ajili ya ujenzi, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 5354,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 782 088 998 / +255 755 431 661

email: info@sumajktanit.co.tz

au fika Makao Makuu ya SUMAJKT Anit Asfalt, Pongwe, kijiji cha Msungura, Pwani.

SUMAJKT Consultancy Bureau Co. Ltd
Jengo la Utumishi likiwa kwenye mchoro wa ubunifu
Jengo la Maktaba likiwa kwenye mchoro wa ubunifu
Mchoro wa kituo cha mafuta cha SUMA Energies katika hatua ya ubunifu.
Sehemu ya Mradi wa kituo cha mafuta cha SUMA Energies katika hatua za ubunifu wa mchoro.

Kwa huduma bora za michoro na ubunifu wa majengo na miundombinu mbalimbali, wasiliana nasi kupitia:

Sanduku La Posta 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/Hotline: +255 22 278 0932

Email: info@sumajkt.go.tz

au fika katika ofisi zetu zilizopo Mwai Kibaki Road, Mlalakuwa jijini Dar es salaam, Tanzania.

SUMAJKT Energies Co. Ltd
Mchoro wa kituo cha mafuta cha SUMA Energies katika hatua za ubunifu
Sehemu ya maduka na huduma za jamii katika mradi wa SUMA Energies katika mchoro wa ubunifu

 

Kwa huduma bora za mafuta safi kwa ajili ya vyombo vya moto pamoja na gesi asilia, wasiliana nasi kupitia:

Sanduku La Posta 1694,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/Hotline: +255 22 278 0932

Email: info@sumajkt.go.tz

au fika katika ofisi zetu zilizopo Mwai Kibaki Road, Mlalakuwa jijini Dar es salaam, Tanzania.

SUMAJKT Garments Co. Ltd

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

sare za jeshi

SUMAJKT Auction Mart Co Ltd

Kwa huduma ya uhakika katika kufuatilia madeni, kukusanya madeni na shughuli za udalali, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1964,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 768 415 336

email: auctionmart@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu jijini Dar es salaam.

SUMAJKT Insurance Broker Co. Ltd

 

Kwa huduma bora ya Bima za vyombo vya moto, usisite kuwasiliana nasi kupitia njia hizi:

P.O . BOX 1964,
Dar Es Salaam, Tanzania.

Simu/WhatsApp: +255 719 078 498

email: broker@sumajkt.go.tz

au fika ofisini kwetu JKT Mgulani jijini Dar es salaam.

SUMAJKT Catering Co. Ltd
SUMAJKT Pharmaceuticals Co. Ltd

 

 

Facebook Twitter Instagram YouTube

Tovuti Mashuhuri

Ikulu

Ikulu

Jeshi la Wananchi

Jeshi la Kujenga Taifa

Wakala wa Serikali wa Mtandao

SUMAGUARD

SUMAJKT Construction Company Limited

SUMAJKT Chang'ombe Furniture Co Ltd

Mawasiliano yetu Rasmi

info@sumajkt.go.tz
+255 22 2780934 / +255 713 411 223
Mlalakua
Dar es Salaam.
Tanzania

Siku SUMAJKT ilipoasisiwa..

© 2025 Haki zote zimehifadhiwa. Imeundwa na kusanifiwa na SUMAJKT Makao Makuu

Scroll to top
  • Nyumbani
  • Kutuhusu
    • Tunu Zetu
    • Uongozi wetu
  • Bidhaa na Huduma
  • Habari na Matukio
  • Mawasiliano
    • Tuzo zetu