wadaiwa

                             TANGAZO

Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la kujenga Taifa (SUMAJKT), linawatangazia wadaiwa wake walioshindwa kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania muheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli la kulipa madeni wanayodaiwa kwa wakati, kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Aidha kwa waliopatiwa huduma ya ulinzi na SUMAJKT Guard Ltd na kushindwa kulipia, huduma hizo zitasitishwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kukamata mali zao kufidia deni wanalodaiwa.

A. MAJINA YA WADAIWA WA MATREKTA

B. MAJINA YA WADAIWA WA SUMAJKT GUARD LTD

Wadaiwa wa Matrekta wanatakiwa kulipa madeni yao kupitia Akaunti namba 2250660305 NMB na 1098139600 CRDB, jina la akaunti ni National Service Corporation Sole na sio kwa mawakala, na wadaiwa wa SUMAJKT Guard Ltd walipe  kwa akaunti namba 0150235278100 CRDB.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba

+255 784 61 3131 au +255 652 752 322 kwa wadaiwa wa Mtrekta na +255 754 408 901 au +255 717 440 409 kwa wadaiwa wa huduma ya ulinzi.

Imetolewa na

Makao Makuu ya SUMAJKT