sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255716177727
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

UJUMBE WA MAAFISA WA JESHI LA WANANCHI WA UGANDA

Ujumbe wa Maafisa  Wakuu Idadi watano kutoka Jeshi la wananchi wa Uganda ukiongozwa na Luteni Jenerali Pecos Kutesa wametembelea kituo cha uwekezaji cha SUMAJKT, Kilichopo kwenye  kambi ya JKT Mgulani.
Katika ziara hiyo waliweza kujionea shughuli za uzalishaji kwenye viwanda viwili ambavyo ni kiwanda cha ushonaji (The National Service Garments Factory) na kiwanda cha maji ya kunywa (SUMAJKT Bottling Plant) , viwanda ambavyo vinamilikiwa kwa asilimia mia moja (100%) na SUMAJKT.

ZIFUATAZO NI HABARI KATIKA PICHA

 
 
     
sumajk