Agri Machinery

SUMAJKT has a long term contract and partnership with the Government of the United Republic of Tanzania Under this partnership. The corporation imports and supplies hundreds of tractors and other agricultural equipment to thousands of smallholder and commercial farmers. Tractors are distributed across the country and sold with different and flexible payment mechanisms, so that many farmers can afford.

Tractors aina ya FARMTRAC zinazouzwa na SUMAJKT Agri Machinery, Ni toleo jipya ambalo limefanyiwa marekebisho makubwa kutoka na mahitajio ya mkulima ambayo yanamuwezesha dereva kufanya kazi bila kuchoka, pia jembe lake linakwatua kiasi kikubwa cha ardhi. vilevile lina double filter.

Mbali na kazi ya kulima na nyinginezo nyingi vilevile Tractors hizi za FARMTRAC zinauwezo mkubwa wa kuvuta maji kutoka sehemu moja kwenda nyingine

Nimuonekano wa Jembe la FARMTRACK limeboreshwa ili kukidhi mahitajio ya mkulima

 Ni moja ya Jembe la Trekta.

[motion data-animate="slideInUp" data-speed="normal" data-easing="linear"]Bei mpya ya Matrekta pamoja na vifaa vyake.[/motion]

Dar es Salaam

Find US by Click Google Sign Below and Type Suma JKT, Dar es Salaam,Tanzania

Welcome Again