sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713819013
+255739819013
+255754819013
+255629695363
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP
Untitled Document

SUMAJKT YAIBUKA MSHINDI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI KATIKA VIWANJA VYA NGONGO 2016

Picha zinazoonyesha Matukio mbalimbali, baada ya Shirika la Uzalishaji Mali Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT), kuwa Mshindi katika kilele cha Maonyesho ya wakulima ya nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Lindi.

Trolltunga Norway
Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo akiwa na Timu ya washiriki wa JKT katika maonesho ya Nanenane 2016 mkoani Lindi

Forest
Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo ambaye ndiyo Mkurugenzi mkuu wa SUMAJKT akipoke kombe kama ishara ya ushindi kutoka kwa mgeni rasmi wakati wa kuhitimisha kilele cha sherehe za maonesho hayo ya wakulima nanenane Mh. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi tarehe 08 Aug. 2016.

Mh. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akipata maelezo jinsi mashine ya kumwagilia inavyofanya kazi katika banda la JKT kwenye maonesho ya wakulima nanenane yaliyofanyika mkoani Lindi kitaifa 2016

Trolltunga NorwayMh. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Akijifunza namna ya uandaaji wa chakula cha mifugo kutoka kwa mtaalamu aliyeandaa Capt Lutengano wa Kurugenzi ya kilimo SUMAJKT.

Trolltunga Norway
Mkurugenzi mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Charo Yateri  alipotembelea Banda la JKT katika maonesho ya nanenane 2016 mkoani Lindi.

Trolltunga Norway
Mh. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Akipata maelekezo juu ya hydroponic fodder alipotembelea banda la JKT wakati wa maonesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika mkoani Lindi Kitaifa Aug. 2016

Trolltunga Norway
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo akiongea na kuwapongeza  Maafisa,  Askari na Vijana wa JKT mara baada ya kupokea vikombe kama tuzo za ushindi katika kilele cha maazimisho ya sherehe za wakulima Nanenane yaliyofanyika kitaifa mkoani Lindi tar 08 Aug 2016.

Trolltunga Norway
Shamba darasa ambalo lililotumika kama eneo la maonesho na kufundishia wananchi na wageni waliotembelea banda la SUMAJKT  katika maonesho ya wakulima nanenane kwa mwaka 2016 mkoani lindi.

 

jQuery Vertical News Slider
 • Mradi wa Ujenzi
 • Mradi wa Sumaguard Ltd
 • Mradi wa Matrekta
 • Mradi wa Kokoto
 • SUMAPONICS
 • Lether Product Industry
 • Kiwanda cha Ushonaji
 • Recreation and Catering
 • Mradi wa Ufugaji
 • Mradi wa Kilimo
 • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Matenki ya kufugia Samaki katika Mradi wa SUMAPONIC.

Mradi wa SUMAPONIC unapatikana Jijini Dar es Salaam-Mbweni JKT...

Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi .

Mradi huu unapatikana MMJKT(Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa) Jijini Dar es Salaam...

kiwanda cha Nguo kinachomilikiwa na SUMAJKT.

Kiwanda hiki kinapatikana Ruvu JKT Pwani...

Huduma ya Chakula inayopatikana katika mradi wa Recreation and Catering...

Mradi huu unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....