Fumigation and cleaning

Posted on Posted in type-a, Uncategorized

SUMAJKT kupitia kampuni yake ya Fumigation and cleaning inatoa huduma ya kuua wadudu wanaotambaa pamoja na kutoa huduma ya kusafisha maofisi na sehemu nyingine kadri mteja atakavyoona inafaa, huduma hii hutolewa katika taasisi zote za serikali, taasisi binafsi pamoja na mtu yeyote ambaye atapenda kupatiwa huduma hii karibu wote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *