sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255629695363
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipotembelea baadhi ya miradi ya SUMAJKT iliyopo Dar es Salaam tarehe 14 Machi 2019.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa SUMAJKT mara baada ya kutembelea baadhi ya miradi ya SUMAJKT iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Dkt. Raphael Chegeni, (Mb) akipatiwa maelezo na Meneja wa Kiwanda cha Ushonaji cha JKT, Meja Alfred Msheri (kushoto) wakati kamati hiyo ilipotembelea kiwandani hapo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Dkt. Raphael Chegeni, (Mb) akiangalia baadhi ya aina za nguo zinazoshonwa na Kiwanda cha Ushonaji cha JKT na kupewa maelezo na Meneja kiwanda Meja Alfred Msheri.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Dkt. Raphael Chegeni, (Mb) akionesha maji ya Uhuru Peak yanayotengenezwa na Kiwanda cha Maji kinachomilikiwa na SUMAJKT.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Dkt. Raphael Chegeni, (Mb) akinywa maji ya Uhuru Peak, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya SUMAJKT Meja Jenerali Mohamed Farah (mstaafu).
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Dkt. Raphael Chegeni, (Mb) akiangalia baadhi ya Matrekta aina ya New Holand yaliyopo katika kituo cha mauzo cha SUMAJKT kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
 
     
sumajk